KISWAHILI SASA CHANZA KUTHAMINIKA
Rasimu ya kwanza ya katiba mpya ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imekitaja kiswahili kuwa ndio lugha ya taifa na inatakiwa itumike kwenye tasisis zote nchini. ila pia inaeleza kuwa pasipo kuathili tamko hilo la mwanzo, kingeleza kitumike kama kuna uhitaji. Hiyo ilisomwa siku ya jumatatu na jaji Warioba alipo kuwa akizindua rasimu hiyo.
0 comments :
Post a Comment