TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Sakata la kuvuja picha mbaya za kiutupu za Paula mtoto wa Kajala linaendelea kuwaka moto kutokana na tuhuma zilizotolewa na Kajala, ambaye alimtuhumu Hamisa Mobeto kuhusika na uchafu huo. Baada ya tuhuma hizo naye Hamisa amejibu mapigo kwakukana kuhusika na kutaja hatua zaidi zitakazochukuliwa kwa kuchafuliwa.

“Jamani hata kama HAMISA MOBETTO ndio jumba bovu lenu la kutupia takataka ifike mahala ifike ukomo. Siamini kama baada ya kukaa na kutafakari cha kuexplain kuhusu haya mmeona mimi ndio ninaweza kuwa Damage Controller. Kajala hiyo tarehe 9 mwanao aliniomba nimtoe Lunch, nikamwambia inabidi niongee na wewe kwanza, na nikakupigia ukaona ni sawa tu”

“Nilimtoa Lunch na muda wote nilikua naongea na wewe kwenye simu mpaka nimemrudisha hapo Gym kwako Mimi mwenyewe soon after lunch. Na huoni Kama unaongea uongo hadharani bila woga?? Siku ninatoka na Paula alikuwa na nywele hizo za kwenye videos?”

“Naomba nilaumiwe kwa kukubali ombi la kumpeleka mwanao lunch na si vinginevyo, Mimi ni Mama, Mfanyabiashara, mdau na Balozi wa Makampuni mbalimbali, Brand yangu nimeijenga kwa muda mrefu hivyo ningependa iheshimike na isichafuliwe kwa shutuma za uongo kama hizi”

“Mimi pia ni Mzazi na Mtoto kwa mama yangu kama ilivyo wewe, nimeona nisafishe upepo mchafu huu uliouelekezea kwangu siku hii ya wapendanao lakini zaidi you’ll hear from my lawyer, Rest assured sitaliacha hili lipite bure, nafikiri itakuwa fundisho zuri na kwa wale wooooote ambao wamekua wakichafua jina langu kwa upuuzi wao” – Hamisa Mobetto.

0 comments :

 
Top