kuto wapa wanafunzi pesa zao za mkopo ni dhahili kuwa wanajua wanafunzi wengi wanao fadhiliwa na bodi ya mkopo hawana uwezo wa kujihudumia. lakini cha kushangaza pesa wanazotakiwa wapewe baada ya miezi miwili inachukua hadi miezi minne ndioo wanapewa.
je serikali inataka wale nii.......
je serikali inataka wale nii.......
0 comments :
Post a Comment