BAADA YA JAY DEE KUPATA TUZO HUKO MAREKANI, HIKI NDICHO ALICHOKISEMA....na watu hawakuacha kukoment kwa hilo. Lady Jaydee Liked · 6 hrs Tuzo yangu ya 30. Asanteni kwa ushirikiano, nimeipokea na ninarudi nayo nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya Kimya LikeLike · · Share Jackson Lema, Roda William, Shadear Shamiry and9,946 others like this. 118 shares 6 of 1,947 View previous comments Joseph Agripina Hongera sana dada upo juu wasiokubali wapotezee 3 mins · Like Wilfred Benjamini Dada jide we njoo tu tupo nyuma yako tuzo yako ni promo tosha,wameleta wasanii wao wawili ili wakushushe wapi unafanya mambo makubwa lakn wapi...wewe unafanya life time music co bubble gum music.Mzk wako wanasikiliza watu wote...!!! 2 mins · Like Samto Mtotela Congratulations my dada 2 mins · Like Said Mteulilo Jde we ucckilize maneno ya wa2 ebu endelea kuwafanyia vtendo co maneno mungu akubark xana na akupe maixha malefu 2 mins · Like Fred Mwafyuma Hongera sana Jide, wasanii wengine kwanini wasiige kutoka kwako? 2 mins · Like Denis Shirima Karibu Hom
0 comments :
Post a Comment