
Akizungumza kwa UCHUNGU mkubwa Mhe Freeman Mbowe (MB) amesema bungeni leo, Kuwa Mhe Prof ,DR. Kikwete kupitia kwa Katibu wake IKULU aliagiza kwa barua fedha za Escrow zitoke.
Mhe Mbowe ambaye ni mwenyekikti mwenza wa UKAWA akizungumza huku akirudia maneno yaliyo tamkwa na Mchumi Bingwa wa Dunia Prof Ibrahim Lipumba kuwa nchi hii sasa ni (FAILED STATE)
Katika maelezo yake Prof Ibrahim Lipumba yenye anuani ya" UFISADI WA IPTL DALILI YA DOLA ILIYO FELI (FAILED STATE)" aliyozungumza mbele ya wandishi wa Habara siku 4 zilizo pita leo yamedhihirika baada ya Mhe Mbowe kueleza namna IKULU ilivyoshiriki kwenye DILI hili.
Mhe Mbowe amekwenda mbali zaidi baada ya kuonyesha barua kadhaa za IKULU kwenda ka GAVANA kulazimisha PESA itoke
HAPA HAKUNA WA KUJIUZURU WALA WA KUMFUKUZA MTU KAZI NA WATANZANIA MSITEGEMEE PESA KURUDI.
KIKUBWA NI KUVUMILIA KA-MUDA KALIKO BAKI KA-MKUU WA KAYA ILI TUPUMUE LAKINI HAKUNA LOLOTE KWA MKUU HUYU.
KINACHO NISHANGAZA HATA HURUMA HANA NA DINI YAKE ALIYOITAJA INAFANANA NA YANGU SIJUI HAKUMBUKI KUWA ATAULIZWA KWA MUJIBU WA KITABU CHETU AU NA HUKO ATAFANYA UJANJA UJANJA TU...?
By Bakari Nzimao
0 comments :
Post a Comment