Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Twaweza mwezi Septemba 2014 kuhusu nani anayefaa kuwa Rais wa Tanzania 2015 unaonesha kuwa 13% ya wananchi watamchagua Edward Lowassa, 12% Mizengo Pinda na 11% wangemchagua Dkt Wilbroad Slaa. 24% ya wafuasi wa CCM wamesema watampigia kura yeyote atakayeteuliwa na chama.
Je, Ni nani anayekufaa wewe kati ya hao?

0 comments :
Post a Comment