TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Elle Fanning

Elle Fanning – Ana utajiri wa kiasi cha  $1.5 Million
Fanning, mwenye umri wa miaka13, alipata kiasi cha $1.5 million baada ya kushiriki katika movie inayojulikana kwa jina la “Super 8.” Fanning ni mdogo wa mwigizaji Dakota Fanning na anajulikana saana kwa kushiriki kama  her starring katika movie ya Phoebe in Wonderland, SomewhereWe Bought a Zoo, na as Aurora in 2014′s Maleficent .

0 comments :

 
Top