Bwana mmoja ametembea juu ya mji wa Chicago huko Marekani akiwa amefunga macho na juu ya Waya.
Nick Wallenda alivuka mto Chicago kuanzia kwenye orofa ya Marina City Towers hadi upande wa pili kwenye jengo la Leo Burnett .
Tizama bwana huyu katika video hii
0 comments :
Post a Comment