TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

                             
Wanaume wengi huwa wanakosea saana katika mahusiano hasa katika hatua za kutafuta msichana unaympenda na unapenda na yeye akupende.
Siku zoote mwanaume inatakiwa umpime msichana unayemtafuta na uogope saana kuendelea kumfuatilia msichana wa namna hii katika maisha yako
Kwanza msichana ambaye alikuwa rafiki yako na anajifanya anaonyesha interest ya kuanza kukupenda kwakuwa tu, kunabaadhi ya vitu umeanza kuvifanya kwake ambavyo anajifanya vinamvutia kuwa na wewe. Wasichana wengi huwa wanapenda vitu vya msimu kama vile ukiwa unamsaidia baadhi ya vikazi vinavyomtinga kwa wakati huo, kumnunulia baadhi ya viofa vidogovidogo kama vile chakula, bite, na kumlipia baadhi ya vinauli hasa mkiwa kazini au shuleni.
Kumbuka kuwa hivi vitu ndivyo vinavyomfanya avutwe kwako na si kwamba amekupenda ww kamaulivyo bali amependa huduma zako na sio wewe, hata ukimpata mwanamke wa aina hii ni rahisi saana uhusiano wenu kutodumu kwa kuwa siku hazifanani, unaweza kujikuta mkawa mbali kidogo aidha kikazi au kimasomo na baadhi ya huduma ulizokuwa unatoa kipindi cha nyuma kutokana na umbali uliopo so ni rahisi pia mtu atakayekuwa karibu naye pia akachukua  nafasi yako.
Pia mwanamke anayejifanya anakupenda isipokuwa kunabaadhi ya sababu zinamfanya asikukubalie kama vile kuwa sehem moja kikazi au kimasomo. Kumbuka upendo wa kweli ni ule usiojali macho ya watu na maoni ya watu, kwa hiyo haina aja ya yeye kukusubilisha wewe ukamsubili hadi mmalize masomo au hadi mtengane kidogo ndio akukubalie. Kwanza ujue msichana huyo hakupendi na hakuna nafasi kwa wewe kukubaliwa isipokuwa anataka kuzidi kujiweka karibu na wewe ili azidi kujinufahisha na baadhi ya huduma utakazokuwa unazitoa kwake. Pili hata akija kukukubalia jua amekuja baada ya kupigwa chini na waliokuwa tegemeo kwake na hivyo anakuona wewe ndio sehemu pekee ya kujishikiza.
Tatu ogopa mwanamke ambaye anaona ww huwezi kumtimizia baadhi ya mahitaji balia anakupenda na ukajifanya kujibidiisha kutafuta pesa ili kukidhi mahitaji yake, jua kuwa kila kubwa ina kubwa yake, jinsi utakavyozidi kutafuta hayo hizo pesa za kukidhi mahitaji yake ndivyo na yeye mahitaji yake yatakavyokuwa yanzidi kupanda. Kwahiyo inamaanisha kuwa ukishindwa kufikia mahitaji yake yatakayo ongezeka atakuacha wewe na kuenda kwa aliye na uwezo zaidi yako wewe.
WANAUME KUWENI MAKINI WANAWAKE NI MATAPELI SAANA NA HAWANA AKILI ZA KUTAFAKARI MBELE ZAIDI.....coment hapo chini ww unaonaje

0 comments :

 
Top