Taarifa kutoka kwa Mwangalizi wetu Mr. Johnson Mbwambo kutoka Sumbawanga mjini ana ripoti:
Hatma ya vurugu kata ya kizutwe Sumbawanga mjini ofisi imechomwa moto na kuvunjwa na mpaka sasa watu wawili wameshikiliwa na polisi.
Hali ni kama unavyoiona kwenye picha. Kuwa nasi kupata habari na matukio kwa kila kinachojiri

0 comments :
Post a Comment