MATOKEO YA AWALI BAADA YA KUMALIZIKA UHAKIKI WA WAGOMBEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
IRINGA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimepita bila kupingwa katika vijiji vitatu na mitaa miwili.
GEITA.
Chama cha Wananchi Cuf kimepita bila kupingwa katika vijiji vinne na mitaa miwili
Chama cha mapinduzi CCM kimepita bila kupingwa katika mtaa mmoja
SHINYANGA.
Chama cha Wananchi Cuf kimepita bila kupingwa kwenye vitongoji 30 na vijiji 4 jumla ya wajumbe na wenyeviti 61 katika wilaya ya shinyanga mjini.
KWA TAARIFA ZAIDI , MAJINA YA WALIOSHINDA , MAENEO YAO NA MAENEO YOTE NCHI NZIMA TUNAENDELEA KUYACHAPA NA TUTAWAJUZA MUDA MFUPI UJAO KADRI TUTAKAVYOZIDI KUYAKUSANYA.
JIUNGE izzytz.blogspot.com UPATE TAARIFA ZOTE SAHIHI NA MAKINI ZA UCHAGUZI HUU WA SERIKALI ZA MITAA
0 comments :
Post a Comment