

Wananchi wilayani Kyela Mkoani Mbeya mapema leo wameuzuia msafara wa miundombinu ambao upo wilayani kukagua miradi ikiwemo bandari ya itunge,
Pichani ni wananchi wakionesha mabango kwa mbunge wao wakihoji barabara kutoka njiapanda mpaka itunge inakarabatiwa kila siku na ameshindwa kuwasimamia watendaji?,
Wengine wakionesha mabango kwamba hawana mbunge........siasa kyela zimebadilika sana saizi wananchi wanahitaji viongozi wachapakazi si vinginevyo.
0 comments :
Post a Comment