
Ajali mbaya imetokea baada ya basi la majinja toka mbeya kugongana uso kwa uso na gari lililobeba mbao maeneo ya Mafinga na kubanwa na gari hilo lililokuwa limebeba hizo mbao. hatujapata idadi kamili ya waliokufa. Tutawahabarisha zaidi

KWA HABARI NA BURUDANI ZA KILA SIKU NA UHAKIKA, HAPA NDIO MAHARA PAKE
0 comments :
Post a Comment