
Mahakama nchini Ivory Coast imemhukumu aliyekuwa mke wa Rais wa nchi hiyo Laurent Gbagbo, kifungo cha miaka 20 gerezani.
- Ni baada ya kukutwa na hatia ya kushiriki katika ghasia zilizotokea baada ya uchaguzi nchini humo mwaka 2010 na 2011.
KWA HABARI NA BURUDANI ZA KILA SIKU NA UHAKIKA, HAPA NDIO MAHARA PAKE
0 comments :
Post a Comment