TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



Orodha ya vyuo vikuu bora Tanzania imetolewa, na matokeo yanaonyesha vyuo vingi vimetoka katika nafasi vilivyokuwa vikishika zamani. 
Vyuo vingi vimeonyesha juhudi kubwa saana na viafanikiwa kuwemo kaika orodha ya vyuo 51bora nchini Tanzania, wakati vingine vikitolewa nje ya orodha hiyo kwa kufanya vibaya kulingana na vigezo vinavyozingatiwa.  

"Note that in ranking these universities four major factors which include their Presence, rate of Impact, Openness and Academic excellence are considered. Based on the world ranking web of universities" Walisema wapangaji hao. Ifuatayo ni Orodha ya vyuo 51 bora Tanzania na nafasi vilivyo shika kidunia.  
                                                 BOFYA HAPA KUIONA ORODHA

0 comments :

 
Top