
LONDON, England
MOJA ya sifa ya kocha Sir Alex Ferguson ni kutafuta Big G kama waswahili tulivyozoea kuziita inakadiliwa kocha huyo ameshatafuna maboksi 2,500 hadi sasa.
Idadi hiyo inakadiliwa kutokana uwezo wake wa kutafuna big g 120 katika michezo 60 anayokuwa amekaa kwenye benchi msimu mzima.
Uongozi wa Manchester United katika kuthamini mchango wake hapo tayari imetangaza dhamira ya kutengeneza mnara wa kumbukumbu ya miaka 26, na mafanikio makubwa kutoka kwa kocha huyo raia wa Scotland.
Mnara huo utazinduliwa mwezi huu wakati wa mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Queens Park Rangers, klabu ambayo kocha huyo aliiongoza United kuanza safari ya mafanikio.
je unaweza wewe kuvunja hiyo record....?
1 comments :
Inawezekana wala mirungi wamempiga gepu mara tatu yake.....!
Post a Comment