Msanii wa muziki wa taarabu Khadija Kopa amepatwa na pigo kubwa baada ya kufiwa na mmewe ( Jafari Ally) usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es salaam. Mungu ampe nguvu dada yetu Khadija na aiweke roho ya marehem pahala pema peponi, AMINA
Khadija akiwa na mmewe....
Home
»
»Unlabelled
»
KHADIJA KOPA APATA PIGO
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment