Kocha wa timu ya taif "Taifa stars" Kim Poulsen amesema kuw wachezaji wake wote wako fiti tayari kuumana na timu ya taifa ya Morocco katika kundi C, mechi hiiyo ni ya marudiano ya fainali za kufuzu kombe la Dunia litakalo chezwa 2014, itachezwa jumamosi usiku jijini Marrakech Morocco.
Poulssen amesema kuwa timu yake itawakosa Mbwana Samata na Thomasi Ulimwengu kwani awajajitokeza kuungana na wenzao kama ilivo kuwa ikitarajiwa kuwa wataungana nao jana kwaajili ya kufanya mazoezi ya pamoja.
wachezaji hao ambao wanaichezea TP Mazembe wataukosa mpambano huo, kwakuwa timu yao itakuwa na mechi za mishindano ya kombe la CAF,
Home
»
»Unlabelled
»
ULIMWENGU NA MBWANA NJE KIKOSINI
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment