kibanda amewasili ncini Tanzania jana siku ya juma tano kwa mapokezi mazito kutoka kwa waandishi mbalimbali wa habari.
"hadisasa namuuliza Mungu ni kwa nini aliruhusu niwe hai hadi leo, labda niokoe taifa langu....waandishi wa habari wenzangu msinililie mimi, lililieni taifa lenu ambalo ndani ya miaka nane ya utawala huu matukio mengi yametokea, lakini hakuna linalo fanyika" kibanda ilisema mbele ya waandishi wa habari (Mtanzania Juni 5/ 2015)
Home
»
»Unlabelled
»
KIBANDA ASEMA ASILILIWE YEYE
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment