TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749


maelfu yalijitokeza kumuaga marehemu Mangwea kwa upande wa Dar es salaam, walipo kusanyika viwanja vya leaders club kutoa heshima zao za mwisho. wasanii wenzake wengi walionekana kwa nyuso za simanzi zaidi.

Nayo safari ya kuupeleka mwili wa marehemu Morogoro kwa mapumziko ya milele ilikuwa ni ya kinamna yake hadi kufika kwao. Watu waliandamana mabarabarani na kumuaga kwa simanzi kubwa. Halii hiyo ilikuwa ni ya tofauti kidogo iliyo pelekea watu wa maeneo ya Mikese kuzuia msafala ili nao waweze kuuaga mwili wa kipenzi chao.




0 comments :

 
Top