
Msanii T.I.D naye aingiza timu katika sakata la tuhuma za Ommy Dimpoz kumtukana marehemu Albert “Ngwair” Mangwea. (FYI, Ommy Dimpoz amekanusha.) Hiki ndio alichosema msanii TID kwenye ukurasa wake ea facebook kuhusu hilo.

KWA HABARI NA BURUDANI ZA KILA SIKU NA UHAKIKA, HAPA NDIO MAHARA PAKE
0 comments :
Post a Comment