TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Karibu ujiunge na short course ya Digital Marketing inayotolewa Online (Mtandaoni) na chuoni (DATASTAR COLLEGE kilichopo Kariakoo Mtaa wa Shauri Moyo)

Digital Marketing ni taaluma mpya inayoendana na mabadiliko ya teknolojia ya Mawasiliano na Habari kidigitali na ambayo yamebadirisha njia za watu kuzitumia kupata na kufuatilia habari, jambo linalowalazimu pia kuwe na mabadiriko ya ufanyaji matangazo

Pia teknolojia ya kidigitali inatoa nafasi kwa mtu mmoja mmoja kuwa na uwezo wa kuitumia yeye mwenyewe moja kwa moja kujitangazia mambo yake ama kuweka mifumo ya kutangaza ama kushirikisha wengine mambo mbalimbali mtandaoni na hivyo kutoa fursa ya kuweza kujipatia kipato, japo wengi wanakuwa hawana uelewa huo.

Mabadiriko hayo ya mifumo ya mawasiliano ya kidigitali yamefanya kuwe na mahitaji makubwa sana katika maofisi mbalimbali ya raslimali watu wenye ujuzi wa taaluma hii.

Hivyo sisi DATASTAR COLLEGE tuko hapa kukupa ujuzi na cheti cha taaluma hiyo.

KARIBUNI KUJIFUNZA MBINU MPYA ZA KUFANYA BIASHARA KIDIGITALI ili uendane na kasi mpya ya nafasi za ajira

Pia ujifunze namna ya kutumia mitandao ya kijamii (Facebook, Twitte, Intagram, Blogs, Websites na YouTube) kujipatia kipato na ajira.

Jiunge kwenye group hili kupata maelekezo zaidi
https://chat.whatsapp.com/E9O2x3QFFPAHd4RsENdDgW
Hili group ni kwaajili ya Darasa na si vinginevyo, hivyo unapojiunga uhakikishe unakuja kwa lengo hilo tu.

Au Wasiliana nasi kwa namba 0624909907

0 comments :

 
Top