TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

baada ya agizo la waziri mkuu  Mizengo Pinda kutoa ruhuusa kwa mapolisi kuutembeza kichapo kwa wanaokiuka maagiozo, baadhi ya wachambuzi wa  mambo wamesema inampasa kuomba msamaha kwa Watanzania kwani amekiuka kifungu cha katiba ya muungano wa Tanzania.
    katika katiba ya Tanzaniainasema ibara ya 13(2) "nin marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamalaka yoyote katika jamhuri ya muungano wa T anzania kuweka shariti lolote ambalo ni la kibaguzi ama wa dhahiri au taathira yake." kifungu cha nne katika ibara hiyo hiyo kinasema "ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au mamlaka yoyote inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au katika utekelezaji wa shughuliu yoyote ya mamlaka ya nchi"
      Kaulii ya Pinda inaonyesha kuwa kandamiza zaidi wananchi kutokana na kauli yako ya kuwalaruhusu jeshi la polisi kwa kutumia mamlaka aliyonayo

0 comments :

 
Top