
Rais Obama pamoja na Bush walikutana leo
Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na
kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale
wote walioathirika katika shambulio la Ugaidi katika Ubalozi wao hapa
nchini mwaka 1998.


0 comments :
Post a Comment