TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

 Angel Maggie ni Mkenya ambaye wiki hii amepamba mitandao kadhaa ya nchini kenya akisemekana kuwa mpenzi wa mwanamuziki Diamond Platinumz ingawa Diamond mwenyewe bado hajaweka wazi kama ni kweli au lah! licha ya kwamba wanajuana muda sasa.
Hata katika shows alizofanya Diamond hivi karibuni Nairobi na Mombasa alikuwa na Angel muda mwingi. Angalia picha zake mpya.......................

 
KUPATA STORY YA DIAMOND NA HUYU BINT BOFYA

0 comments :

 
Top