TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749


Mwanamziki toka FM Academia a.k.a Wazee wa ngwasuma anayejulikana kwa jina la Digital, amefariki dunia muda mfupi alipokuwa amelazwa katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.

Tangu wiki iliyopita alikuwa anasumbuliwa na maradhi na kukimbizwa katika hospitaliui ya Mwananyamala na baada y akuzidiwa  akapelekwa Mhimbili ambako ndiko kifo kimempata.

maradhi yaliyopelekea kifo chake bado haijafahamika....

0 comments :

 
Top