TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

                
Msanii wa TMK Wanaume family, Yesaya Ambikile 'YP' aliyefariki usiku wa kuamkia juzi, amezikwa jana katika makaburi ya Chang’ombe maduka mawili jijini Dar jioni.
Mwili wa marehemu YP uliagwa leo mchana huko TCC Sigara Chang'ombe ambapo wasanii na wadau mbalimbali katika tasnia ya burudani walihudhuria mazishi ya msanii huyo kutoka kundi la TMK Wanaume Family.
Mungu ailaze roho ya marehemu 'YP' mahala pema Peponi. Amen.

0 comments :

 
Top