
- Viongozi wapewa agizo la kukusanya FEDHA kwa wafanyabiashara kwa vitisho.
- Hofu yatanda wengi wahidiwa wasipochangia watakiona.
- Lengo ladaiwa kuwa ni kununua kura kwa kiwango cha kutisha ili waendelee kuiba RASILIMALI za taifa .
- Hii ni baada ya TAARIFA kuonyesha kuwa wanaweza kupoteza VIJIJI vingi na MITAA mingi kiasi cha kuhatarisha uchaguzzi mkuu ujao.
- Ofisi zao za KATA , MATAWI na WILAYA zadaiwa kuwa hoi baada ya kutafunwa kwa UFISADI wao. Haya ni matokeo mabovu kuwahi kutokea ya wizi wa mali za umma yawezekana ikawa HISTORIA kwa TAIFA.
AMMA KWA HAKIKA CCM IMEPOTEZA KABISA SIFA NA UWEZO WA KULIONGOZA TAIFA LA TANZANIA NA SASA NI ZAMU YA UKAWA.
0 comments :
Post a Comment