1. SERA, -Kudumisha sera za vyama vyote vinne na kuchukua mambo yanayofanana ili kuvifanya viwe na kauli ya Pamoja.
2.WAGOMBEA, -Kusimamisha wagombea wa pamoja katika chaguzi zote za serikali za mitaa,Wabunge,Baraza la wawakilisha,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Zanzibar.
3.UTARATIBU, -Namna gani vyama vitashirikiana katika uchaguzi wa serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu na kusambaza Mwongozo katika mikoa mbalimbali kuwaelekeza viongozi mambo yanayotakiwa.
4.KURA YA HAPANA, -Kushirikiana katika mchakato wa kupiga kura ya hapana katika kura ya maoni ya katiba inayopendekezwa kwa kuwa haijazingatia maoni ya Wananchi.
5.USHIRIKIANO, -Kufanya kazi kwa pamoja katika maswala ya msingi kwa maslah ya Nchi.
6.MUUNGANO, -Kuulinda muungano bila kuwa na migongano ya maslahi kama ilivyo sasa.
7.UZALENDO, -Kuhimiza na kusimamia ushirikiano wa pamoja baina yao na makundi mbalimbali bila kuweka mbele maslah yoyote ya vikundi na kuhakikisha Wananchi wanapata Tanzania mpya.
0 comments :
Post a Comment