TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Viongozi wa vyama vinavyounda UKAWA (CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi na NLD) wamesaini makubaliano ya kushirikiana katika chaguzi zote.
Miongoni mwa makubaliano ni kuweka wagombea wa pamoja katika ngazi zote za uchaguzi kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2014, na Uchaguzi mkuu 2015 kwa nafasi za Ubunge, Udiwani na Urais.
Pia wamekubaliana kuhamasisha wananchi kwa pamoja kuikataa Katiba Inayopendekezwa.
Tukio hilo la kutia saini makubaliano limefanyika leo katika viwanja vya Jangwani jijini DSM.
Hakika leo ni siku ya kihistoria siku ambayo itakumbukwa na vizazi vijavyo ni siku ya kusaini kifo cha mkoloni mweusi(CCM), Kwa watakao fatilia kupitia mtandao huu nitaanza kuwarushia kinachoendelea kutoka uwanja wa Jangwani ni siku ya kusaini MoU kati ya vyama vinne vya kisiasa yaani CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI NA NLD.. Radio 1, ITV, Sibuka zitakuwa hewani kuanzia saa kumi mpaka kumi na mbili jioni
watu kwasasa wanazidi kufulika.



Attached Thumbnails Attached ThumbnailsClick image for larger version. 

Name: IMG-20141026-WA0045.jpg 
Views: 0 
Size: 258.7 KB 
ID: 196609   Click image for larger version. 

Name: IMG-20141026-WA0044.jpg 
Views: 0 
Size: 249.7 KB 
ID: 196610  

0 comments :

 
Top