
Huyu ni mmoja kati ya vijana walioamua kujiajiri kwa kufanya kazi ya kuokota makopo na kwenda kuyauza. Anaitwa Calvin ana miaka 29, anakwambia amemaliza shahada ya biashara lakini amekaa nyumbani bila ajira kwa miaka mitatu na hana mtaji ndipo akaamua kufanya hii kazi mwaka huu.
Kama umefurahishwa na uamuzi wake wa kujishusha bila kujali elimu yake, tupia neno lolote la kumpa hongera
0 comments :
Post a Comment