Usiku wa jana majogoo wa london mbele ya mashabiki walijikuta wanapewa dozi ya aina yake na vijana wa blanco , magoli mawili ya benzema na moja toka kwa Ronald yaliwafanya vijana wa Rongers kupoteana kabisa, hivyo kufanya madrid waendelee kuongoza kundi lake
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment