TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



            
Msanii wa Bongo Movies anayejulikana kwa jina la 'Mzee Manento' amefariki dunia. Akiongea na EATV Rais wa shirikisho la wasanii Simon Mwakifwamba amethibitisha kufariki kwa Mzee Manento na kusema msiba wake upo nyumbani kwake Kigogo/Mburahati jijini Dar es Salaam
Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakini na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani
Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

0 comments :

 
Top