TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Maelfu ya wakazi katika visiwa kwenye Ziwa Victoria watapata huduma ya kwanza ya aina yake, kupitia hospitali iliyojengwa ndani ya meli. Ziwa Victoria linaunganisha nchi za Tanzania, Kenya, na Uganda. Wakazi katika eneo hilo la Afrika Mashariki walikuwa wakilazimika kutoa fedha nyingi kukodisha boti kwenda hospitali. Meli hiyo imetengenezwa Scotland. Mwandishi wetu Anne Soy amekwenda kuitazama meli hiyo
TAZAMA PICHA YA MELI YENYEWE HAPA

0 comments :

 
Top