Uefa ligi inaendelea leo vijana wa wenger kushuka dimbani wakimtengemea striker wao Danny welbeck
Nyuma ya pazia leo dunia nzima itakuwa imetupia macho pale uwanja wa anfield vijana wa Rongers wakiwa na strika mtukutu Mario balloteri uku timu ya madrid ikiwa na hali ya juu baada ya ushindi wa weekend watatua jijini london kwa jeuri ya juu wakiongozwa na mafundi kama Ronald , Bale, Modric na James
####African boi
Mwanamichezo wako
0 comments :
Post a Comment