Golikipa wa zamani
Wa barcelona Victor Valdes kakubaliwa na kocha wake wa zamani Van Gaal kuanza kufanya mazoezi na timu ya Manunited
Hivyo endapo ata fanikiwa kuonyesha uwezo hueda akapewa mkataba wa kudumu
Kwani mpaka sasa Valdes hana timu baada ya mkataba wake kuisha na barcelona
#African boi
0 comments :
Post a Comment