TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



MAANDAMANO BAWACHA: Polisi wakiwa kwenye magari madogo 5, gari 1 la maji ya kuwasha wafika na kuzingira Ofisi za Chadema-Bawacha Kinondoni asubuhi hii kuzuia maandamano.
Polisi wamtia mbaroni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee na wenzake sita na kuondoka nao; hali bado si shwari.

Wamama wazee wakiimba na kucheza mbele ya Oysterbay police bila kujali magari ya kuwasha wakimsubiri Mwenyekiti wao Halima Mdee,jihoji mwenyewe mbele ya akina mama umefanya nini kuonyesha unalaani kilichofanywa na mafisadi akina Sitta na wenzie!!!!!!

Wakiwa oysterbay

Polisi Wakiwa Oysterbay wakimsubili Mdee

0 comments :

 
Top