TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

20 wafariki Mbagala.
Lori la mafuta limeanguka Mbagala jijini Dae Es salaam na kusababisha vifo vya watu 20 papo hapo.Watu hao wamekufa baada ya mtu mmoja mwenye sigara kusogelea eneo hilo akiwa na sigara iliyosababisha mlipuko mkubwa.Watu hao walivamia eneo la Mbagala rangi 3 na kuanza kuchota mafuta yaliyomwagika kutoka kwenye gari hilo.watu kadhaa pia wamejeruhiwa kutokana na ajali hiyo.

0 comments :

 
Top