TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

THT leo imemuaga rasmi Amini ambaye  miongoni mwa mastar wanaotokea kwenye jumba hilo la vipaji Tanzania baada ya kuishi ndani yake kwa zaidi ya miaka 9 mpaka sasa.
Amini ambaye anakua msanii wa pili kutoka kwenye uongozi wa THT baada ya Linah ambaye aliagwa Mwezi July mwaka huu anasema ameishukuru sana THT kwa muda wote aliokuwa nayo kuanzia kama mwanafunzi hadi baadae kuwa mwanamuziki kamili.
Baada ya kukamilika kwa shughuli ya kutoa vyeti kwa walimu na uongozi wa THT akiwemo Mkurugenzi Ruge Mutahaba,Amini pia aliwapa nafasi waandishi na waalikwa kushuhudia kipande cha video ya wimbo wake mpya uitwao Mbeleko.
46mnAmini baada ya kutoka THT kwa sasa yuko chini ya kampuni inayoitwa BME ambayo ameiambia millardayo.com kuwa yeye ndiye msanii wa kwanza kwenye kampuni hiyo ambayo anaamini atafanya vizuri.
Hizi ni baadhi ya picha za usiku huu wa kuagwa Amini.
53mn
50mn
44mn
39mn
43mn
34mn
4mn
6mn
7mn
8mn
12mn
17mn
28mn
26mn
23mn
29mn

0 comments :

 
Top