TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

                      

Aliyekuwa rais wa Zambia Michael Satta anazikwa leo jijini Lusaka nchini humo baada ya kufariki siku chache zilizopita nchini Uingereza kwa ugonjwa usiojulikana.Rais huyu aliyekuwa kipenzi cha wengi kutokana na misimamo yake pamoja na kuleta maendeleo mazuri kwa muda mfupi aliokaa madarakani amefariki huku kukiwa na maswali mengi juu ya nini haswa kilimuua.Ni vigumu kwa mtu mkubwa kama rais wa nchi kuugua ugonjwa ambao haujulikani.hizi ni njama.alizungumza mwananchi mmoja wa Zambia kwa uchungu.Michael Satta aliingia madarakani mwaka 2011 kuitawala nchi hiyo.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.Amen.

0 comments :

 
Top