TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



Mtanzania anayejulikana kwa jina la Mzee Ngoma ndiye aliyegundua madini aina ya TANZANITE yanayoliingizia taifa dola millioni 20 kwa mwaka. Historia yake ya ugunduzi wa kishujaa imebatilishwa , hadhi na haki yake amepewa mhindi Manuel De Souza aliyekuwa fundi cherehani anayetambuliwa kama mgunduzi wa madini hayo kwa sasa. 

Ikiwa serikali na jamii nzima vimeshindwa kumsaidia Mzee Ngoma mpare kutoka Makanya-Same kupata haki yake ya ugunduzi (Patent), kweli tutawavutia vijana wetu wadogo wahangaishe vichwa vyao ili wagundue mambo makubwa zaidi?
Toa comments zako hapo chini.........

0 comments :

 
Top