
Foleni za Dar es salaam na matatizo yake imekua sio stori mpya tena ila ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka pamoja na hiki kivuko ndio habari ya mjini ambapo leo kuna stori imetoka ikiwa ni good news kuhusu hiki kivuko kipya.
Kwenye Blog ya
issamichuzi.blogspot.com kuna taarifa kuhusu kutua kwa kivuko cha Mv. Dar es Salaam ambacho kitakuwa kinafanya safari kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo kama inavyoonekana kwenye hizi picha.

Waziri wa Ujenzi John Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wakisubiri kivuko hicho kuwasili bandarini Dar.

Kivuko cha Mv Dar es Salaam kikiwasili Dar lana Novemba 17.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Waziri Magufuli wakipewa maelekezo na Injinia Japhet Masele
0 comments :
Post a Comment