TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

     


Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM, Paul Makonda amekanusha taarifa ya kwamba amehusika kumpiga Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba jana. 
Amesema hawezi kumfanyia kitendo kama kile Jaji Warioba kwani anamuheshimu kama mzazi wake.
Hayo yamejiri leo wakati alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kuhusiana na taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kwamba amehusika katika vurugu zilizotokea jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Kwa taarifa Zaidi ungana nasi baadaye

0 comments :

 
Top