TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Proo
Mkongwe kwenye Game, Profesa Jay leo ameandika historia nyingine tangu atangaze kuingia rasmi kwenye jukwaa la kisiasa.
Unajua kwamba jamaa alitangaza  rasmi kuvaa gwanda la CHADEMA sasa leo ameendelea kuandika historia nyingine, kupitia ukurasa wake wa Instagram, Profesa Jay ameweka picha nane akionyesha shughuli za ufunguzi wa tawi jipya la CHADEMA huku akihamasisha wananchi kushirikikujiandikisha kwenye daftari la makazi na kisha kupiga Kura.
Hiki ndicho alichokiandika; “..Kuhamasisha wananchi kujiandikisha na kisha kupiga KURA. …. Hamasisha na kwa watu wako ili wajitambue na kunitumia vema HAKI yao ya kuchagua viongozi wao kwa maendeleo yao!!!…”- Prof. Jay
“..Ufunguzi wa matawi mapya, Ujengaji wa chama na uhamasishaji kwa wananchi kujiandikisha kwenye daftari la makazi na kisha kupiga KURA! !!..”
Picha mbili na kile alichokiandika viko hapa.
ProPro II
ProfProf iiNi halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote.

0 comments :

 
Top