Jumla ya watahiniwa 451,392 kati ya 792,118 sawa na asilimia 56.99 waliofanya mtihani wa darasa la 7 mwaka 2014 wamefaulu kwa kupata alama 100 au zaidi kati ya alama 250. Matokeo haya ni sawa na ongezeko la asilimia 6.38 kutoka 50.61. Ufaulu Katika masomo yote yakiongozwa na Kiswahili pia umepanda kwa kati ya asilimia 0.64 na 8.94 ikilinganishwa na mwaka 2013.

Nini maoni yako kuhusiana na matokeo haya?

0 comments :
Post a Comment