Rais wa Uganda Paul
kagame amemteua Meja Jenerali Jacques Musemakweli kuwa Mkuu
wa Jeshi la Utumishi wa kikosi cha Ulinzi cha nchini Rwanda(RDF).
Musemakweli amekaimu
nafasi ya Luteni Jenerali Frank Mushyo Kamanzi
ambaye kwa sasa yupo nchini Sudan ambako mwezi uliopita alichaguliwa kama Kamanda wa Jeshi la Umoja wa nchi za Afrika (UNAMID).
Taarifa iliyotolewa na
Wizara ya Ulinzi nchini Rwanda imeelezwa kuwa Meja Jenerali Alex Kagame
aliekuwa kamanda wa kikosi cha Ulinzi amechukua nafasi iliyokuwa ya Musemakweli .
0 comments :
Post a Comment