TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

MSHAURI HUYU

Kwa jina naitwa Cindy ninasoma chuo  hapa Dar es salaam,kiukweli maisha yangu nikiwa chuo ni magumu mno kwani nasumbuliwa mno na wavulana wa chuo pamoja na walimu.

Lakini nina rafiki yangu wa kiume ambaye huwa ananisaidia pale napokuwa na shida kwa kidogo hicho alichonacho na nina mpenda kweli,tatizo linakuja kuna mwalimu ananitaka kimapenzi,ingawa nilimkataa kwa kumweleza ukweli kuwa nina mpenzi wangu.

Baada ya kumkataa yule mwalimu aliniambia nitajutia maamuzi yangu,na kweli sasa nayaona kwani mimi na mpenzi wangu tumekuwa tukifeli somo la huyo mwalimu hata tufanyaje,nikimfuata kumuuliza nilipokosea ananiambia si najifanya mjanja.

Kiukweli sielewi nifanyaje naombeni ushauri?

Kwa jina naitwa Cindy ninasoma chuo hapa Dar es salaam,kiukweli maisha yangu nikiwa chuo ni magumu mno kwani nasumbuliwa mno na wavulana wa chuo pamoja na walimu.

Lakini nina rafiki yangu wa kiume ambaye huwa ananisaidia pale napokuwa na shida kwa kidogo hicho alichonacho na nina mpenda kweli,tatizo linakuja kuna mwalimu ananitaka kimapenzi,ingawa nilimkataa kwa kumweleza ukweli kuwa nina mpenzi wangu....

Baada ya kumkataa yule mwalimu aliniambia nitajutia maamuzi yangu,na kweli sasa nayaona kwani mimi na mpenzi wangu tumekuwa tukifeli somo la huyo mwalimu hata tufanyaje,nikimfuata kumuuliza nilipokosea ananiambia si najifanya mjanja.

Kiukweli sielewi nifanyaje naombeni ushaurini

CHANZO: EATV facebook page

0 comments :

Top