
JANA mtu mmoja amekamatwa na heroin airport na Mwakyembe kasema kuna mzaha na watu hawana woga kwani ni asubuhi ya jana tu alifanya ukaguzi wa kushtukiza. Ila kasema hatanii na sasa ukikamatwa unatajwa jina na unapigwa picha.
Amesema hiyo kesi anafatilia mwenyewe na hataki habari za "uchunguzi unaendelea" kwani ushahidi wa picha tu utatosha kuanzisha kesi.
Kasema ilikuwa leo atoe taarifa ya watu waliokamatwa na madawa South Africa ila amesita ili akusanye taharifa za watanzania wote waliokamatwa na kasema yeye ndo anafatilia kila kitu.
Source: ITV habari
0 comments :
Post a Comment