Patrick Rweyongeza, Mhadhiri (College of Engeneering) UDSM, ameuawa leo kwa kupigwa na risasi.
Tukio limetokea majira ya mchana maeneo Magomeni TANESCO wakati marehemu
akielekea mjini ambapo watu waliokuwa wamepakizana kwa pikpiki
kumfuata na kumfyatulia risasi kisha kutokomea.
Haijafahamika kama kuna uporaji uliofanyika au la.
Source: Matukio-Wapo radio.
Home
»
»Unlabelled
»
MAJAMBAZI WAUA KWA RISASI TENA UDSM
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment