TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam ambalo linateketea na moto usiku WA JANA.
Taarifa zilizotufikia katika meza ya habari usiku WA JANAzinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo hilo.

0 comments :

 
Top